Ya Mungu mengi ila Dunia ina mengi pia

Aisee hii ilishanikuta katika level tofauti, Nikaacha fursa kibao zinipite nikiingojea ahadi ya Bwana yule bila kujua natumika.
Kifupi iliniathiri sana katika maeneo mengi, Ni jambo ambalo mpaka leo nilijiona bado wa kuja mjini kivipi kwa Elimu yangu, Makamo yangu na uwezo wangu wa kupembua Mambo alionijaaalia Mwenyezi MUNGU nilishindwa kuona mwisho wake.
Ni muda sasa umepita, hata sasa MUNGU ni Mwema labda lisingekuwa na mwisho mzuri.
Pole sana Mkuu naelewa kwa kiasi ulichopitia, Nakutakia uponyaji wa haraka kwa maradhi yanayokusumbua.

Sent from my V2027 using JamiiForums mobile app
 
Hahah wao ni wao njoo ujibu hoja huku,au ushalala yakhe?[emoji28][emoji28]
Nilimuona dada FaizaFoxy katika uzi tofauti na huu hiki kitu akiuliza hasa kule kwa yule jamaa aliyetuongopea kuhusu Greatwall restaurant niliandika kila kitu ila within three minutes sikukuta komenti yangu .
 
Insha'Allah Allah atanifanyia wepesi
 
Nilimuona dada FaizaFoxy katika uzi tofauti na huu hiki kitu akiuliza hasa kule kwa yule jamaa aliyetuongopea kuhusu Greatwall restaurant niliandika kila kitu ila within three minutes sikukuta komenti yangu .
Irudie mkuu🙏wewe yalokupata baadhi ni Kama mie ingawa mie siyo mwanasiasa,mfano kuahidiwa cheo kikubwa,then kuhamishiwa mbwinde huku kwa majungu tu,kuwa demoted kwenye cheo wakat ni senior na kuongozwa na junior nilowazid elimu, experience na kila skills ktk kazi,nokalowea kwenye lindi la ulevi wa kupindukia,madeni kila Kona na mikosi isiyosemeka hadi nikataka kuquit job,ni ajabu na neema za Mungu sikufukuzwa kazi na nilisharejea kwenye ubora wangu Kama miujiza,so maisha haya Yana mengi Sana.
 
Inauma sana kiukweli ilifika muda naweza tembelea mafundi nakuwauliza hivi mimi napendeza kwa suti ya rangi ipi [emoji3] yaani ni tafrani
Pole sana, maisha ni mtihani. Utarudi jwenye form, usiwe na shaka.

Waarabu wana msemo wao "kulu daga fiha taalim" Kiswahili chake "roughly" ni kila pigo lina elimu yake.
 
Pole sana, anaetowa miadi halafu hatimizi ni mnafik.

Mwenyezi Mungu awape subira, yote ni mitihani. Ulevi siyo solution ni kujiumiza zaidi. Elekeza malalamiko yako kwa Mwenyezi Mungu, kama mitume wote walivyofanya kwenye vitabu vyote vya dini.

Mwenyezi Mungu hatubebeshi mizigo tusiyoiweza.
 
Inauma sana kiukweli ilifika muda naweza tembelea mafundi nakuwauliza hivi mimi napendeza kwa suti ya rangi ipi [emoji3] yaani ni tafrani
[emoji23][emoji23][emoji23] pole sana mkuu ndio maana tunaambiwa usimtegemee mwanadamu anaweza kufa au kuugua au kuku saliti na kuku umiza sana, kiumbe kinachoitwa binadamu kina laana, tumtegemee Mungu.
 
Vijana na wazee wa. Jukwaa hili, nimeuliza swali hili mara nyingi, fungukeni...

Nini kilichopelekea jiwe akajibanze Chato kwa zaidi ya miezi miwili?
Alijua akitoka tu kule wanamnasa, na kweli alivyotoka kwenda kufungua flyover ya kijazi na nyumba za ma polisi wakamdaka kweli.
 
Alijua akitoka tu kule wanamnasa, na kweli alivyotoka kwenda kufungua flyover ya kijazi na nyumba za ma polisi wakamdaka kweli.
Nini kilichompeleka?

Kuna habari za udaku zinasema kilikuwa kifungo cha aina yake, cha kujihukumu mwenyewe, cha nyumbani, kimya kimya.

Alimcezea simba sharubu, akaparazwa na kucha kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…