Ya Mungu mengi ila Dunia ina mengi pia

Saivi niko sawa mkuu🙏pombe nimeacha na nimeokoka🙏kazi napiga vizuri na mwezi wa tano narudi kuongeza elimu ili cv yangu ishibe vizuri, namshukuru Mungu yamekwisha,ulikuwa Moto mkali ulionichoma na kuniunguza ila sikufa🙏
 
Saivi niko sawa mkuu[emoji120]pombe nimeacha na nimeokoka[emoji120]kazi napiga vizuri na mwezi wa tano narudi kuongeza elimu ili cv yangu ishibe vizuri, namshukuru Mungu yamekwisha,ulikuwa Moto mkali ulionichoma na kuniunguza ila sikufa[emoji120]
Hongera na pole kwa yote .
 
Saivi niko sawa mkuu🙏pombe nimeacha na nimeokoka🙏kazi napiga vizuri na mwezi wa tano narudi kuongeza elimu ili cv yangu ishibe vizuri, namshukuru Mungu yamekwisha,ulikuwa Moto mkali ulionichoma na kuniunguza ila sikufa🙏
Mwenyezi Mungu atatimiza ndoto zako njema zote.

Hongera sana kwa kufaulu mitihani.
 
Saivi niko sawa mkuu🙏pombe nimeacha na nimeokoka🙏kazi napiga vizuri na mwezi wa tano narudi kuongeza elimu ili cv yangu ishibe vizuri, namshukuru Mungu yamekwisha,ulikuwa Moto mkali ulionichoma na kuniunguza ila sikufa🙏
Hongera dadake
 
Daah inaumiza...pole sana
 
sijui watanitafuta japo siwaogopi.

Mbona kama unawaogopa mkuu hahaha
 
Kuna uwezekano alitaka kukupa hiyo nafasi lakini alijua hufai kwahyo alitaka kujiridhisha.
 
Nini kilichompeleka?

Kuna habari za udaku zinasema kilikuwa kifungo cha aina yake, cha kujihukumu mwenyewe, cha nyumbani, kimya kimya.

Alimcezea simba sharubu, akaparazwa na kucha kidogo.
Huo ndio ukweli ..nafikiri hadi alikiri mwanae naye alichakazwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…