Ya Mungu mengi ila Dunia ina mengi pia

Mkuu Gily njoo hapa
 
Nimefika nkmecheka mpaka basi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481] japo sinywi pombe siku nitajupiga mzinga mmoja wa nyagi
Anhaa mchaga na pombe ni ndugu wa damu sasa wewe ni mchaga wa wapi bana ?
 
Anhaa mchaga na pombe ni ndugu wa damu sasa wewe ni mchaga wa wapi bana ?
Pombe nimeacha mzee. Niliumw ulcers kali siwezi Sahau nilimuona Israel uso wake na unatisha hatari🤣🤣🤣

nyumbani wanakunyw yani aisee warombo si unawajua😀
 
Pombe nimeacha mzee. Niliumw ulcers kali siwezi Sahau nilimuona Israel uso wake na unatisha hatari[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

nyumbani wanakunyw yani aisee warombo si unawajua[emoji3]
Anhaa pole sana , usirudi tena huku kumbe hakukufai
 
Anhaa pole sana , usirudi tena huku kumbe hakukufai
Kuna siku nilikunyw pombe ya maharage acha. Leo hii usingenikuta hapa. Nikinywa pombe naongea kingereza hatari ukinikuta sasa huwezi amini 🤣🤣🤣
 
Kuna siku nilikunyw pombe ya maharage acha. Leo hii usingenikuta hapa. Nikinywa pombe naongea kingereza hatari ukinikuta sasa huwezi amini [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji3][emoji3] pombe sio maji kweli
 
Pesa ni tamu lakini pia cheo ni kitamu zaidi hasa kwa wanasiasa na watu wapenda u-boss.

Kuna jamaa mzee wake na waziri fulani ni marafiki, kuna siku mzee wake alituambia kua jamaa yake anapenda sana zile salute uchwara anazopewa. Heshima, kupishwa road na heshima kibao asizostahili hasa kwa wasiojua haki zao, wajibu na sheria.
 
Cheo kitu kingine kabisa.
 
Gily si uliniambia wao ni wao alishindwa kuapa anamsingizia tu mwendazake😁
huyu Mzee ni kiboko yani anatoka kwao huko Chato halafu hajaaga. Asichokikua mwendazake alimuokoa sana kutompa uteuzi🤣🤣🤣 wenzake huwa wanalala na Maiti kujizindika yeye anajidanganya kuwa anakula mdudu wachawi hawasogei🤣🤣🤣

mzee wetu wa faida nimependa sana uandishi wake. 😊Mungu ampe maisha marefu sana. .
 
Pole sana Baba wao ni wao kwa waislamu tuna nguzo za uislamu na nguzo za imani nguzo za imani ni 6 moja wapo ni kuamini kheir na shari vinatoka kwa Mwenyeezi Mungu,unaweza kukipenda kitu kisiwe na kheir nawe na unaweza kuchukia kitu kikawa na kheir na wewe who knows Allah alikuepusha bna kuwa fisadi kushinda la Epa na Escrow etc kutajwa na CAG 😀kheir inatoka tumboni mwa shari enjoy maisha vyeo vina mambo mengi acha pombe jali afya yako kamwe usimtumainie mwanadamu mwenzako na kingine jifunze jambo lako kulifanya la siri sio kila mwanadamu ana furahia neema ya mtu sio Kila anaecheka usoni ana maanisha wengine Wana chuki zao moyoni na hasad ni mbaya sana yashinda uchawi.
 
🤣😂😂🤣🤣🙌
 
Asante binti , nimekuelewa vizuri mno kuliko huyo baba mtoto Gily
 
Dada yake alishaolewa na pia nimesikia story kuwa alikuwa kwenye ile clue ya kupeleka mabilioni nje , maana alikula shavu huko kwenye mihela ajabu jina kabadili [emoji848]

Japo ni muda umepita ila sasa hivi dada simtaki tena
Gily njoo sizitaki mbichi hizi 🤣😂
 
Watu na mizizi yao haya bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…