Ya Mwisho naacha Mapenzi......

Pole yako mkuu,hebujiulize maswali je hapo awali uliwahi kua na msichana mwinginena hali hii ilijitokeza? na haikuwahi kujitokezaje je huyo binti yako wa awali uliachana nae katika mazingira gani?pia jaribu kumuuliza huyu mwenzi wako nae akupe historia ya kimahusiano then tunaweza kujadili mengine
 
Hyo ni ishara muoe kwanza thn mtafanya sex!
 
una jini mahaba la kike, ni PM ili nikuelekeze cha kufanya kuondoa tatizo lako mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…