R Rwabugiri JF-Expert Member Joined Jul 10, 2007 Posts 2,774 Reaction score 215 Feb 1, 2008 #1 Wakazi wa geita wanajiandaa kumuondoa muwekezaji wa mgodi wa Geita katika maeneo yao, kama wao walivo ondolewa.. Someni hapa http://www.freemedia.co.tz/daima/2008/2/1/habari7.php My take Je huko tunakoelekea hatutakuwa kama Nigeria?
Wakazi wa geita wanajiandaa kumuondoa muwekezaji wa mgodi wa Geita katika maeneo yao, kama wao walivo ondolewa.. Someni hapa http://www.freemedia.co.tz/daima/2008/2/1/habari7.php My take Je huko tunakoelekea hatutakuwa kama Nigeria?
Mkereketwa JF-Expert Member Joined May 19, 2007 Posts 202 Reaction score 25 Feb 1, 2008 #2 Hiyo ndiyo nguvu ya umma, kama serikali haiwezi kusikiliza kero za wananchi, inabidi wenyewe watatue matatizo yao.
Hiyo ndiyo nguvu ya umma, kama serikali haiwezi kusikiliza kero za wananchi, inabidi wenyewe watatue matatizo yao.