Hata jk anafanyaga hvohvo
Aaaaah!! Mkulu tena Ni jambo la kawaida sana kwakeHata jk anafanyaga hvohvo
Haha you must be shocked "Obama is not a papal or pope ".haha duh did I say he is not Jesus Christ .Wana JF juzi nilikuwa naangalia Al-jazeera TV walikuwa wanamuonesha Barack Obama akielekea Israel,yani sikuamini nilichokuwa naangalia,kwanza aliposhuka kwenye helicopter yake yenye steps kama 6 alishuka kwa kukimbia then alipoifikia ngazi za Airforce one alipanda ngazi zote zenye steps karibu 40 akiwa anakimbia,nikajiuliza hivi viongozi wetu wa Africa wanaokula ugali sahani mbili kila mlo wataliweza kweli hilo zoezi!
upo right kabisaaa!anafanyaga
Hata mimi nimekuelewa pia.Nadhani Mauza FirstLady1 na PhD wamenielewa nilikuwa namaanisha nini kwenye uzi wangu,mimi siko kwenye upinzani wa vyama,ingawa wengine ni wale wabishi,Born mbishi kazi yake ni ku-critisize evyerything in sight akifikiri inamsaidia kuonekana naye anajua.
hahaha umetumwa eeh!kama kusimama penyewe anadondoka akikimbia si ataelekea ahera
Hata jk anafanyaga hvohvo
Ndo Leo Unaona Pole Yako Eenhee...................
Thread Nyingine Bana