Ya Okra na Baleke bado huku Mkopo wa Zengeli ukifika Ukingoni leo tena mmemtambulisha haraka haraka huyu Mkongomani Shauri yenu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
DAR ES SALAAM: YANGA imetambulisha usajili wa kiungo wa pembeni π‰π¨π§πšπ­π‘πšπ§ 𝐈𝐀𝐚𝐧𝐠𝐚π₯𝐨𝐦𝐛𝐨 kutoka timu ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC)

Chanzo: habarileo_tz

Na nasikia Wakala wa Zengeli ameshawakazieni na huenda Wiki ijayo Zengeli akarejeshwa Kwao DR Congo alikotokea.
 
Umeandika nini sasa
 
Bakuli FC
 
Attachments

  • 20250115_182051.jpg
    20250115_182051.jpg
    896.9 KB · Views: 4
DAR ES SALAAM: YANGA imetambulisha usajili wa kiungo wa pembeni π‰π¨π§πšπ­π‘πšπ§ 𝐈𝐀𝐚𝐧𝐠𝐚π₯𝐨𝐦𝐛𝐨 kutoka timu ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC)

Chanzo: habarileo_tz

Na nasikia Wakala wa Zengeli ameshawakazieni na huenda Wiki ijayo Zengeli akarejeshwa Kwao DR Congo alikotokea.
Enjoy your day
 
Mbona kama unaionea yanga huruma,Leo umekuwa mshauri wa yanga??daah kweli maisha yanaenda kasi sana
DAR ES SALAAM: YANGA imetambulisha usajili wa kiungo wa pembeni π‰π¨π§πšπ­π‘πšπ§ 𝐈𝐀𝐚𝐧𝐠𝐚π₯𝐨𝐦𝐛𝐨 kutoka timu ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC)

Chanzo: habarileo_tz

Na nasikia Wakala wa Zengeli ameshawakazieni na huenda Wiki ijayo Zengeli akarejeshwa Kwao DR Congo alikotokea.
 
DAR ES SALAAM: YANGA imetambulisha usajili wa kiungo wa pembeni π‰π¨π§πšπ­π‘πšπ§ 𝐈𝐀𝐚𝐧𝐠𝐚π₯𝐨𝐦𝐛𝐨 kutoka timu ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC)

Chanzo: habarileo_tz

Na nasikia Wakala wa Zengeli ameshawakazieni na huenda Wiki ijayo Zengeli akarejeshwa Kwao DR Congo alikotokea.
Kule wenye akili wawili tu.
 
Back
Top Bottom