What a fascinating story, did he actually chapa him? Kuna mtu anaweza kutuulizia through yule mtoto wake?alikuwa anafanya kazi kampuni flani inayotoa huduma ya kupata matokeo ya mitihani via sms. Mwalimu bwana!chapa a young man just like so?
Nimefuatilia swala hili kwa baadhi ya watu ninaaowaamini wamekiri kweli.Sijui kama amewahi waeleza wanae na familia yake.Mbona hata mwalimu mwenyewe nimewahi kusikia kuwa aliwahikugoma akiwa Tabora Boys ya enzi hizo?Tena na nasikia alitoroka akakamatiwa stesheni mwanza!What a fascinating story, did he actually chapa him? Kuna mtu anaweza kutuulizia through yule mtoto wake?alikuwa anafanya kazi kampuni flani inayotoa huduma ya kupata matokeo ya mitihani via sms. Mwalimu bwana!chapa a young man just like so?
Katika pitapita yangu nimeipata hii nikaona si vibaya nikaiweka though inawezekana mnaifahamu.Kwamba in 1960's Sitta na Mwenzake waliongoza mgomo pale UDSM na kusababisha Nyerere kufukuza wanachuo.Baadae walirudishwa kutokana na mipango ya menejiment ya chuo Lakini Nyerere alikuwa mgumu kumruhusu Sitta kurejea masomoni.Hata hivyo Baadae alirejeshwa chuoni kwa masharti ya kuchapwa viboko na Mwalimu mwenyewe.(mind you at that time he wa Mr President)
Je hawa watu wengi waliopitia UDSM na sasa ni maarufu Tanzania na duniani wanafanyaje kuinua elimu yetu?
Ulitegemea wafanye nini Mkuu kwa sababu wameshasahau walikotoka na hata hawapajui wanapoelekea?Wamekuwa wachoyo na wamesahau yale yote aliyowafanyia Mwalimu kwa sababu wao walikula na kunywa bure na hata kusoma bure ila leo hii watazuia matokeo ya yatima coz ameshindwa kulipa ada yake!
They are irresponsible and self minded!
mwaka 1992, tulifukuzwa the then ardhi institute baada ya mgomo kuhusu cost-sharing, mgomo huu ndo huo huo ulimwondoa mbatia pale udsm.
kabla ya kurudishwa tuliambiwa turipoti kwa wakuu kuanzia kijijini,wilaya na hata mkoani, kuandika barua kuwa hatutagoma tena, samwel sita alikuwa mkuu wa mkoa wa kilimanjaro, akatoa maagizo turipoti kwake in person, tulipoenda ofisini kwake akatuambia hiyo story ila hakusema alinyukwa viboko. baadaye akataka tunyukwe na sisi viboko tukamkatalia