Ya Sri Lanka yanaweza tokea Kenya kesho?

Ya Sri Lanka yanaweza tokea Kenya kesho?

kijana13

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,981
Reaction score
3,631
Maana nchi nzima wanakuta Nairobi Kwa maandamano na wengi wameapa kwenda state house kumtoa Ruto...Je Hali itakuwaje? Au ndio wanacopy ya sirlanka ? Kesho vyombo vya habari vitakuwa live...
View attachment 2558573
 

Attachments

  • images.jpg
    images.jpg
    87.4 KB · Views: 5
Shetani amewatawala miaka 60 mmeshindwa kumtoa,unashabikia mambo ya Kenya
 
Unafikiri kila mtu ni mfuasi wa chadema ,wakenya wanajitambua sio kama nyie mapoyoyo maokunywa maji ya kisima kwa miaka 60
Nimekuambia nenda jukwaa la siasa kama unataka mambo ya ufipa. Hapa tunajadili Kenya, umenisikia wewe Kamongo. Kama wewe unajitambua mbona upo hapa JF umebaki kulia lia tu?
 
Umeandika pumba tupu tu huna lolote,ebu uwache kuwashwa na nchi za watu
 
Back
Top Bottom