Ya Tanzania mengi

Rule L

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2020
Posts
1,846
Reaction score
2,754
Da aisee bongo Raha San maan kil mtu n mchambuz wa soccer. Wachambuz wenyw mazuzu wa hatar cjui tnakwam wapi mby zaid kil mtu anasheria zake za soccer n hataki zipingwe ila sio ajab maan ukiangalia marefa nao n mazuzu ukija waendsha team mazuzu idar za soccer naz zina baadh ya mazuzu wachezaj mazuzu nao wapo kwahy n Kam vile soccer la mazuzu linaendeshwa kizuzuzuzu
 
Huu ni uandishi wa Senior Zuzu.
 
Shule zifunguliwe watoto mupungue humu.
Maana sio kwa muandiko huu.
 
we mpira achana nao kabisa usije siku ukabeti mke ukaliwa wew unazani makampuni ya kamari ni wajinga had wakaamua kuweka mzigo wa kutosha kwenye soka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…