Ya Yanga na Simba ndio ya Tanzania na ccm...

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2018
Posts
5,636
Reaction score
8,777
...leo hii Simba wakiwa bank-rolled na Dewji wanaonekana kuwa wapo matawi ya juu (kama Yanga walipokuwa bank-rolled na Manji). Same thing ilitokea kwa kupokezana enzi ya Gulamali Abbas na Azim Dewji.
Tanzania ya Mwinyi hadi Mkwere ilionekana afadhali ya Nyerere baada ya vita na Uganda.

Well; naomba muelewe wapenda michezo kuwa Simba na Yanga ni maskini (japo zina resources lukuki) kwa sababu hiyo hiyo inayosababisha Tanzania chini ya ccm iwe maskini. WRONG ATTITUDE KUAMINI KUWA MTU NI BORA KULIKO FUNCTIONING SYSTEM.
 
Fact! Klabu ina mamilioni ya washabiki lakini mapato duni, Viongozi wa hivi vilabu wajaribu kuwa wabunifu na waendeshe hivi vilabu kisasa.
 
Back
Top Bottom