yaan!

yaan!

bia

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2011
Posts
257
Reaction score
30
najua huenda nimekosea njia,lakin pia c mbaya 2kaangalia hii mambo ambayo inanikeraga kupita maelezo na huenda nawe yamewai kuku kumba.nimesoma na kukaa na watu wengi wenye tabia tofauti,ila kinachoniuma ni kuwa nimekua rafiki wa ukwel haswa wale marafiki zangu wa karibu,hakuna best yangu atakaekuja na shida yoyote ile ambayo ipo ndan ya uwezo wangu nkamwangusha hata sa ingne natoa hata kama itaniathiri bdae ilimradi 2 kudumisha urafik we2,kinachonifanya nichanyikiwe na nishndwe kujielewa n kuwa hawa hawa mabest wangu wa karibu ndo huniangusha,why?kwa sababu kila nkiwakopesha hela hairudi kwa mda muafaka huchukua hata karibu ya mwaka,na ntaipata kwa kujishusha ijapo ndo mwenye mali au sa ingne na kugombana pia,hunifungia cmu sa ingne nk,kuna wakat nami napungukiwa nkiwaconsult weng hunipiga chenga na ntapata jawabu tena kwa m2 nisiyekua nae karibu cna.wana jf am confused and retreated by my close frnd,just soma andika anythng unachowaza.
 
Punguza huruma mpendwa, hao hawana urafiki wa kweli na urafiki walionao kwako ni kwa ajili ya manufaa yao ni bora uachane nao. Muombe mungu ukupatie marafiki wenye upendo wa dhati ambao utakuwa nao ktk shida na raha
 
Mfadhili mbuzi utamla mchuzi,binadamu atakuuzi.......Tenda wema usingoje shukrani....Ni maneno ambayo kisaikolojia yanasaidia sana ukiwa unayakumbuka katika ''situation'' yako.
 
The first stage ni kutambua tatizo, hilo umefaulu
The second stage ni kutafakari na kuchukua hatua mana
waweza tambua alafu bado ukaendelea kuumizwa...

USHAURI; Fanya mambo ndani ya uwezo wako mwanadamu
hata umfanyie nini haridhiki ni wachache wenye kuridhika, hivyo
kua makini na hao marafiki maana wanakuchukulia advantage..

All the best katika kuweza kuchukua hatua...
 
Pole sana ndugu bia! Ila unatakiwa ujue tabia ya pesa na shida. Mtu ukiwa na shida na kwenda kukopa kwa mtu, moyoni unakuwa safi kabisa kuwa utairudisha hiyo pesa kwa muda mliokubaliana. lakini ukishatatua tatizo lako na muda wa kurudisha pesa ukishafika, watu wengi wanakuwa wagumu moyoni mwao kuirudisha pesa hata kama anayo. Kuna wengine wanatabia ya kurudisha pesa kidogokidogo hata kama anayo yote. Nakushauri usome tabia za hao jamaa zako unaowakopesha ili baadae wanapokuwa na shida ujue jinsi ya kudili nao kwani wanasahau kuwa shida huwa haziishi.
 
Punguza huruma mpendwa, hao hawana urafiki wa kweli na urafiki walionao kwako ni kwa ajili ya manufaa yao ni bora uachane nao. Muombe mungu ukupatie marafiki wenye upendo wa dhati ambao utakuwa nao ktk shida na raha

Siko mbali na wewe ndugu yangu
 
thnks all,i wil 4lo yo advice
 
The first stage ni kutambua tatizo, hilo umefaulu
The second stage ni kutafakari na kuchukua hatua mana
waweza tambua alafu bado ukaendelea kuumizwa...

USHAURI; Fanya mambo ndani ya uwezo wako mwanadamu
hata umfanyie nini haridhiki ni wachache wenye kuridhika, hivyo
kua makini na hao marafiki maana wanakuchukulia advantage..

All the best katika kuweza kuchukua hatua...

Well said, tupo kwenye trail moja. Tatizo la huyu ndugu hapendi kuonekana kam-let down rafiki yake.
Na watu wamekugundua weakness yako.
Angalia utashindwa kufanya vitu vya maana coz hao rafiki zako.
Kumbuka binadamu huwa haturidhiki, ukinipa moja,
ninajua kumbe kutoa moja kwako siyo issue, unataka mbili!
Ukitoa mbili, nitataka tatu nk.
Jivue gamba.
 
my dear
tumia huu msemo
WEMA USIZIDI UWEZO
nadhani unaufahamu vizuri
Any one who takes advantage of you is not a friend
..
 
Back
Top Bottom