GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tegemeeni kumuona Afisa Habari mwana Yanga SC lia lia Hashim Ibwe akizuga Kulia, kulalamikia Mwamuzi na Kuumia kwa Kipigo watakachokipata kutoka kwa Yanga SC leo jioni / usiku huku Moyoni mwake na Rohoni kwake Akifurahia hakuna mfano.
Wale wana Simba SC Wenzangu hapa JamiiForums mnaodhani Azam FC itamfunga Yanga SC leo au hata tu kutoka nayo Sare au Suluhu HAMNA AKILI kabisa.
Tujilaumu kwanini Yanga SC anatuokota kila mara kiasi kwamba sasa Simba SC tumekuwa rasmi ni Wake rasmi na Tukuka wa Yanga SC na wakitaka tu (muda wowote ule) tunawapa yote.