Yaani from nowhere anatuma hii picha na kuuliza "Unaiweza Hii Style?"

Kama usingeli tuonesha hiyo style tusingelijua kuwa weye unaiweza. Umetuwekea tukuombe majaribio hivyo sasa twajua unaiweza sana. B/up madame kwa kuwekwa hadi kukunjwa. Huenda una kina kirefu cha mtera kwa Kibajaji
 
Nmecheka sana. Hiyo style kwa wadada nyepesi tu zipo nyingine nlikuwa nawakunja mpaka akimaliza haelewi aliwezaje.... Miguu inakuja kutana nyuma ya shingo au kisogo

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani ungemjibu naiweza ama siiwezi ungekatika vidole?watu wengine mnajua ku complicate life sana
 

“Pumbavu nyinyi “ umetutukana wote mpaka Baba yako’ watu kama nyie kuwala ni rahisi sana!
 
mleta ma da ni malaya sana
 
Jilaumu mwenyewe kwa kujiweka cheap..
Mwanamke anayejiheshimu hawezi kutumiwa picha ya hivyo... jitafakari mwenyewe ...pumbafu mwenyewe
 
Usirudie kutuma mambo ya kijinga jf, next time nitskuchukulia hstua
 
Nikiwa nasoma post yako nikaweka picha yako kama mwanamke mwenye adabu , nikakuvalisha suit safi nilivyoona picha uliyopost na maneno yako ya mwisho ya kutenguana fasta nizoom Avatar yako
Ni walewale Mwendokasi , wadada wa singeli tu

Utakuwa na mshono wa hatari
 
Mimi nafikiri lengo kubwa la mtoa mada ni kutaka jukwaa lijue kazi unayofanya.
@@@@&.

I stand to be corrected.
 
We kweli hamnazo,sasa na sisi humu umetutumia ya nini au umetuma kimakosa, nawe tuheshimu sio kila mmoja atafungua mtandao wa JF akute umetuma ujinga wako huu tutaufurahia, kama unajiheshimu usingeleta humu
 
Hiyo ni test, ungelegea tuu ungeliwa. [emoji23], wanaume tupo hivyo. Tunatest kisha tunasubiri matokeo. Ila ungeonyesha kufurahia picha ama kutaka kujua zaidi, mai furendiii kingekukuta kitu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mabaharia oyee
 
Nawewe ni walewale tu uliituma huku ili sisi tufanyeje kwa mfano!
Maneno uliyoandika yalikuwa more enough.

rubiish kabisa.
 
Angizenyu!!
 
Hyo ilikuwa kama intro tu
 
Unatuonyesha style aliyokukunja jamaa,kakutesa sana halafu ile 7200 uliyoomba kama malipo ya kazi hajakupa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…