Yaani from nowhere anatuma hii picha na kuuliza "Unaiweza Hii Style?"

Kama hiyo avatar ya mleta mada ndiyo yeye basi jamaa ajakosea kuuliza kama hiyo style mleta mada anaiweza. Maana inaonekana unaendana nayo kabisa kwa hisani ya avatar style yako.
 
Tafuta thamani ya X na kipenyo chake kwenye nyuzi 90°
 
Jikague life style yako ikiwemo mavazi kama kuna sehemu ya kurekebisha usione tabu kufanya hivyo kama kweli unataka genuine respect from others including men!. Life is like handwriting,you write others read it!
 
Hamna lolote! Ulitaka tu kutuma hiyo picha tuione halafu unanifanya kumsingizia mtu kuwa amekutumia. Kwani mpaka utuletee humu? Si ungemjibu tu kuwa huiwezi hiyo style, kwani wanaokutongoza wote huwa unatuletea taarifa humu!! Ovyooo!!
 
Usipokuwa makini kwa style hiyo lazima uboo usukume kizazi kisogee
 
 
Nimeipenda sana!
Najua kuna wanawake mnatamani mkunjwe hivyo...

Gonga like tuwaone
 
aisee ungempeleka polisi ili akome kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…