Yaani hizo Tozo zinazochukuliwa haziwezi kuchochea ukuaji wa uchumi

Yaani hizo Tozo zinazochukuliwa haziwezi kuchochea ukuaji wa uchumi

Hapo ni sawa na kusema unachakua hela mfuko wa kushoto wa suruali na kuzihamishia mfuko wa kulia.

Ni mzungoko wa namna hiyo, we are distributing povert to our government.
Umaskini wako ndio mtaji wao,hivyo mara zote watawala hufanya kila namna uendelee kuwa maskini ili wao waendelee kuwa na mtaji wakufanyia biashara zako
 
Hapo ni sawa na kusema unachakua hela mfuko wa kushoto wa suruali na kuzihamishia mfuko wa kulia.

Ni mzungoko wa namna hiyo, we are distributing povert to our government.
Walikukuja na mbwembwe za makinikia wakafeli

Wakaja na sheria mpya ya madini, tena kea hati ya dharula ila hatuoni impact Ili kuboost uchumi nayo imefeli

Wakaunda kampuni ya twiga ambayo walisema tutapata 50/50 economic benefit, Hili nalo ni usanii mtupu

Walisema watajenga smelta Ili tusiibiwe kwenye makinikia juzi Majaliwa karuhusu makinikia kupeleka nje.

Rejea zile mbwembwe za wakati ule wa gesi ya kusini, huwezi sikia wakiiongelea tena

Najariburi kuonyesha ni namna gani secta ya madini imeshindwa ku transform uchumi wetu Ili kumpa ahueni mwananchi na mzigo wa tozo
 
Back
Top Bottom