Meneja Wa Makampuni JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 7,899 Reaction score 10,415 Aug 21, 2021 #1 Hapo ni sawa na kusema unachakua hela mfuko wa kushoto wa suruali na kuzihamishia mfuko wa kulia. Ni mzungoko wa namna hiyo, we are distributing povert to our government.
Hapo ni sawa na kusema unachakua hela mfuko wa kushoto wa suruali na kuzihamishia mfuko wa kulia. Ni mzungoko wa namna hiyo, we are distributing povert to our government.
mugah di matheo JF-Expert Member Joined Jul 28, 2018 Posts 6,307 Reaction score 12,410 Aug 21, 2021 #2 Meneja Wa Makampuni said: Hapo ni sawa na kusema unachakua hela mfuko wa kushoto wa suruali na kuzihamishia mfuko wa kulia. Ni mzungoko wa namna hiyo, we are distributing povert to our government. Click to expand... Umaskini wako ndio mtaji wao,hivyo mara zote watawala hufanya kila namna uendelee kuwa maskini ili wao waendelee kuwa na mtaji wakufanyia biashara zako
Meneja Wa Makampuni said: Hapo ni sawa na kusema unachakua hela mfuko wa kushoto wa suruali na kuzihamishia mfuko wa kulia. Ni mzungoko wa namna hiyo, we are distributing povert to our government. Click to expand... Umaskini wako ndio mtaji wao,hivyo mara zote watawala hufanya kila namna uendelee kuwa maskini ili wao waendelee kuwa na mtaji wakufanyia biashara zako
M mliberali JF-Expert Member Joined Jul 13, 2012 Posts 12,346 Reaction score 15,249 Aug 21, 2021 #3 Meneja Wa Makampuni said: Hapo ni sawa na kusema unachakua hela mfuko wa kushoto wa suruali na kuzihamishia mfuko wa kulia. Ni mzungoko wa namna hiyo, we are distributing povert to our government. Click to expand... Walikukuja na mbwembwe za makinikia wakafeli Wakaja na sheria mpya ya madini, tena kea hati ya dharula ila hatuoni impact Ili kuboost uchumi nayo imefeli Wakaunda kampuni ya twiga ambayo walisema tutapata 50/50 economic benefit, Hili nalo ni usanii mtupu Walisema watajenga smelta Ili tusiibiwe kwenye makinikia juzi Majaliwa karuhusu makinikia kupeleka nje. Rejea zile mbwembwe za wakati ule wa gesi ya kusini, huwezi sikia wakiiongelea tena Najariburi kuonyesha ni namna gani secta ya madini imeshindwa ku transform uchumi wetu Ili kumpa ahueni mwananchi na mzigo wa tozo
Meneja Wa Makampuni said: Hapo ni sawa na kusema unachakua hela mfuko wa kushoto wa suruali na kuzihamishia mfuko wa kulia. Ni mzungoko wa namna hiyo, we are distributing povert to our government. Click to expand... Walikukuja na mbwembwe za makinikia wakafeli Wakaja na sheria mpya ya madini, tena kea hati ya dharula ila hatuoni impact Ili kuboost uchumi nayo imefeli Wakaunda kampuni ya twiga ambayo walisema tutapata 50/50 economic benefit, Hili nalo ni usanii mtupu Walisema watajenga smelta Ili tusiibiwe kwenye makinikia juzi Majaliwa karuhusu makinikia kupeleka nje. Rejea zile mbwembwe za wakati ule wa gesi ya kusini, huwezi sikia wakiiongelea tena Najariburi kuonyesha ni namna gani secta ya madini imeshindwa ku transform uchumi wetu Ili kumpa ahueni mwananchi na mzigo wa tozo