Yaani kabisa eti Kocha Msaidizi huko alikotoka leo hii mnategemea aje akutane na Warithi wa Maradona Kigamboni na mchukue Ubingwa NBC na CRDB FA Cup?

Yaani kabisa eti Kocha Msaidizi huko alikotoka leo hii mnategemea aje akutane na Warithi wa Maradona Kigamboni na mchukue Ubingwa NBC na CRDB FA Cup?

Serikali isipoingilia kati Simba ndio inapotea isaidiwe imagine team pasi milioni ndio mtoa muelekeo
 
Kumbuka ile sio chumvi ndani ya mboga kwamba ukiweka ikolee papo hapo...subla ni ibada tosha
 
Timu inayowategemea kina kisugu na mzaramo ndio wawe mastermind wa klabu ujue ni majanga sio mchezo, wakati huo huo timu ikiwa imesheheni viongozi waongo waongo wakina jaribu Tena ambao bado wanadhani miaka inarudi nyuma wanakwambia wamesajili kikosi Cha bilioni 7🤣🤣🤣
Timu aiwezi kusonga mbele kwa aina ya viongozi Kama wale siku zote ukileta siasa kwenye soka utaumbuka mapema sana maana mpira ni mchezo wa wazi na uhalisia na sio MAIGIZO!
 
Tajiri keshajua kuwa anamiliki Timu yenye Majuha wengi na Mashabiki wenye Ujuha ndiyo maana anafanya alitakalo.
Tuachie timu yetu, ifuate hiyo unayoona inafanya vzr. Au ichukue timu wewe uifadhili tuone. Vinginevyo ni kelele tu kama kelele nyingine za kijuha.
 
Tuachie timu yetu, ifuate hiyo unayoona inafanya vzr. Au ichukue timu wewe uifadhili tuone. Vinginevyo ni kelele tu kama kelele nyingine za kijuha.
Mbona hampendi kuambiwa ukweli mara zote?

Mtaendelea kupewa sababu kila msimu hadi lini?? Hivi hamshtuki tu?
 
Umesahau na ngao ya jamii, nyinyi hilo timu lenu bovu liandaeni kuchukuwa mapinduzi cup mwakani february, haya mataji mengine ni Yanga, labda Azam kidogo wanaweza kupata nafasi ya pili.
 
Back
Top Bottom