johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
ajitambuiKuna Wakati Mchungaji Msigwa akiwa Mbunge alitaka kumpiga DC Richard Kasesela pale Uwanja wa Ndege Nduli Sema kwa bahati Salim ASAS akawaambia
Leo ndio hivyo tena Mchungaji Msigwa anaripoti kwa Komredi Kasesela Mnec
Dunia simama nishuke
Mlale Unono ππππ₯
Kwani uongo au kipindi hicho wewe ulikua unavalishwa nepi kijijini KWENU sitimbiAcha unafiki wako wewe.Mnafiki sana wewe Mzee.
Wewe ulikuwa viunoni Kipindi hicho πAcha unafiki wako wewe.Mnafiki sana wewe Mzee.
Kipindi icho wee unaenda shule na zile soksi za pundamilia na kiatu kirefu tena chakike,wenzio mjin kitambo sanaAcha unafiki wako wewe.Mnafiki sana wewe Mzee.
Ila CCM makatili sana Msigwa alijifanya mgumu walimteka wakamafanyia yale mabo huku wanamrekodi kisha kawekewa hela akaambiwa achague kuingia CCM na hela achukue au akaze fuvu wazimwage hizo picha wakatia wanakunjua mikunjo yake akawa hana jinsi , akapewa muda wa kupona kisha akaripoti kwa Nchimbi kudadadadeq leo hii kada anaitukana Chadema na Mbowe kama hana akili nzuri huku vijana wanamcheka wanamuona ni demu wao tuKuna Wakati Mchungaji Msigwa akiwa Mbunge alitaka kumpiga DC Richard Kasesela pale Uwanja wa Ndege Nduli Sema kwa bahati Salim ASAS akawaambia
Leo ndio hivyo tena Mchungaji Msigwa anaripoti kwa Komredi Kasesela Mnec
Dunia simama nishuke
Mlale Unono ππππ₯
Hivi kuna viumbe wanafiki na waongo kama CCM.Acha unafiki wako wewe.Mnafiki sana wewe Mzee.
Nilikuwepo siku ile Kasesela alikaribia kumbutua huyu ngedere Peter MsigwaKuna Wakati Mchungaji Msigwa akiwa Mbunge alitaka kumpiga DC Richard Kasesela pale Uwanja wa Ndege Nduli Sema kwa bahati Salim ASAS akawaambia
Leo ndio hivyo tena Mchungaji Msigwa anaripoti kwa Komredi Kasesela Mnec
Dunia simama nishuke
Mlale Unono ππππ₯
Lucas usibishe hilo tukio ni kweli lilitokea tumbili alikuwa mkali alijaribu kumkabili kabisa Kasesela naye Richard hasira zilimpanda akataka kumkata makofi watu wakaamulia, ngoja niitafute hiyo video nikuwekee mdogo wangu Tomaso.Acha unafiki wako wewe.Mnafiki sana wewe Mzee.
Mkuu, lakini si ndivyo ilivyo?Acha unafiki wako wewe.Mnafiki sana wewe Mzee.
Si nasikia msigwa kalipwa $500000Kuna Wakati Mchungaji Msigwa akiwa Mbunge alitaka kumpiga DC Richard Kasesela pale Uwanja wa Ndege Nduli Sema kwa bahati Salim ASAS akawaambia
Leo ndio hivyo tena Mchungaji Msigwa anaripoti kwa Komredi Kasesela Mnec
Dunia simama nishuke
Mlale Unono ππππ₯
Acha unafiki wako wewe.Mnafiki sana wewe Mzee.
Ndiyo, Dulla hana hiana na Petro dollars zake.Ila alichofanywa kabla ya kulipwa mtonyo huu ni siri yake na marinda yake.Si nasikia msigwa kalipwa $500000
Nani anunue Mwanasiasa Mfu yule kwa dolar Laki 5? Unaijua dola laki tano wewe kijana.Si nasikia msigwa kalipwa $500000
We hapo ulikuwa umesimama wapi mkuuπππNilikuwepo siku ile Kasesela alikaribia kumbutua huyu ngedere Peter Msigwa
Ni huyo anayembembeleza Mh Mbunge wa Chadema by then πWe hapo ulikuwa umesimama wapi mkuuπππ
View: https://youtu.be/6daso-n6HP0?si=LMkYNgriPGgNJkxv
Huyo ni diwani wa Nduli, nadhani ndo alikuwa ni CCM pekee alieshindaNi huyo anayembembeleza Mh Mbunge wa Chadema by then π
Ukiweka njaa mbele utatawaliwa hata na mbwaKuna Wakati Mchungaji Msigwa akiwa Mbunge alitaka kumpiga DC Richard Kasesela pale Uwanja wa Ndege Nduli Sema kwa bahati Salim ASAS akawaambia
Leo ndio hivyo tena Mchungaji Msigwa anaripoti kwa Komredi Kasesela Mnec
Dunia simama nishuke
Mlale Unono ππππ₯