GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Ndiyo maana nimeuliza hivi wana Simba SC tuna Akili sawa sawa kweli? Kibu na Kapombe wangetumia vyema nafasi muhimu walizozipata hizi lawama kuwa Refa Arajiga kazingua zingekuwepo?Ile mechi ya jana arajiga kazingua ile ni clear offside.
Mpo vizuri, mnashika nafasi ya tano Afrika, mmefika robo mara tano mfululizo michuano ya CAF, jezi zenu Mnascan, Mbosso kaja kumfunika Zuchu, mmesajili wachezaji kutoka ulaya na wengine wamecheza michuano ya club FIFA.Sasa mnasemaje hamna wachezaji.Kwahiyo Mangungu ndiyo aliwaambia akina Kibu Denis na Nuksi Shomary Kapombe wakose yale Magoli ya wazi na ndiyo pia aliwaambia Mabeki wawe Wazembe katika Kukaba kiumakini hadi Pacome akatufunga?
Yanga inacheza Kitimu Simba kizembe.
Hili swali hawezi lijibu, wote wanadiscuss move ya goli badala ya makosa ya wachezaji. Kipindi cha kwanza mlikuwa mnaimaliza mechi,uzembe wenu wenyeweNdiyo maana nimeuliza hivi wana Simba SC tuna Akili sawa sawa kweli? Kibu na Kapombe wangetumia vyema nafasi muhimu walizozipata hizi lawama kuwa Refa Arajiga kazingua zingekuwepo?
Nsombeni apps za kuangalia mpira, FawaNews inazingua nilishindwa kuangalia mechi ya Yanga na Simba...Kwahiyo Mangungu ndiyo aliwaambia akina Kibu Denis na Nuksi Shomary Kapombe wakose yale Magoli ya wazi na ndiyo pia aliwaambia Mabeki wawe Wazembe katika Kukaba kiumakini hadi Pacome akatufunga?
Yanga inacheza Kitimu Simba kizembe.