GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Imeelezwa kiungo Mapinduzi Balama anatarajiwa kuelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu zaidi ya majeraha yake
Balama amekuwa nje ya uwanja wa miezi sita sasa akiuguza majeraha aliyopata mwishoni mwa msimu uliopita
Pamoja na kuelezwa hali ya nyota huyo ilikuwa ikiendelea vizuri akianza mazoezi mepesi chini ya uangalizi wa Madaktari, wataalamu hao wamependekeza apelekwe Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu zaidi
Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz, amethibitisha kuwa Balama ataondoka nchini wakati wowote kuanzia Alhamisi
Balama alipata majeraha mwezi Juni 2020 ligi iliporejea baada ya mapumziko ya corona
Chanzo: yangawhatsapp_makaomakuu
Kwa Watu wa Mpira kama Sisi ambao Maisha yetu ni Kukutana 24/7 na hawa Wachezaji Wenu huyu Mchezaji analaumu mno kuwa hathaminiwi.