Una mambo ya kike sana,kwa siku unafungua nyuzi kumi za simba zote unalalamika na kususa,unamsusia nani,we ni a small particle hata ukisusa simba inasonga mbele,tafuta hela dogo
Nakuhakikishia Simba haiwezi kumuacha Manzoki! Trust me. Wanaweza wakasubiri mpaka dirisha dogo lakini sio kumuacha! Na Manzoki asingekuwa na jeuri ya kumuambia Eng. Hersi kuwa anakuja Simba Sc . na ayakuwa ni top scorer msimu huu