Yaani MUCE......

KaziIendelee

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2013
Posts
327
Reaction score
229
Sahv nipo lecture,ila kwa mtindo huu sidhani......,No chairs,mic mbovu,kila kitu ovyo......,hapa tunapata shida sana....
 
Poleni sana ila ndyo tanznia hii , usije ukadhani hizo shda ni kwenu tu////
 
umetokea International School?
wenzio ndo mazingira tuliyosomea tangu shule ya msingi mpaka chuo kikuu na hapa nafanya kazi na experts wa ulaya wananikubali mpaka basi.
acha excuses fata kilichokupeleka. piga shule tu
 
Sahv nipo lecture,ila kwa mtindo huu sidhani......,No chairs,mic mbovu,kila kitu ovyo......,hapa tunapata shida sana....


mmh! hadi ukapata muda wa kuandika hapa kweli kila kitu hovo..! isije kuwa lecture inakutoa patupu! mic kuwa mbovu.. nalo ni ishu? ina maana wewe leo ndo siku ya kwanza kuhudhuria lecture hapo? tatizo hilo limeonekana leo tu? au leo wewe ndo umekosa kiti basi umepata na muda wa kujungunga huku? hebu tulia hapo na usome mwalimu! ndo digrii yako inapopatikana hapo!
 
Tatizo linajulikana na linashughulikiwa. Sasa wewe mlalamiakaji hapa kwenye jamvi utapata ufumbuzi gani? Peleka malalamiko yako kwa menejimenti ya chuo au kwa viongozi wako wa DARUSO. Au ni mwaka wa kwanza hata ofisi hujui zilipo? Taabu ya kuchelewa au kupuuzia orientation week.
 
huo ni ukoma wa mawazo na kwa hayo mawazo yako coz work 2 sitakurudisha kwenu
 
Wewe Bwana mdogo kaza buti upate Degree yako.Asilimia kubwa ya vyuo vyetu matatizo yanafanana.
 
Kutokujua mazngira ya elmu nchini napo ni tatizo.
Kwa jinsi navyopafahamu MUCE,ni pazuri ukilinganisha na mazngira ya vyuo vingi nchini.
So,napata tabu kumuelewa huyu dogo,cjui ametokea CANADA au UK?
Mdogo wangu,soma!
"Matatizo ni chakula cha maono yako"
Na nahc unateseka sna hasa ktk lecture za DS,EP ama EF.
 
Acha kumuongoza kupofu shimoni, hivi ni nani hapa duniani hapendi kusoma UDSM...

hata udsm ilianza kama mchicha!!

sidhani kama unaijua vizuri historia ya chuo kikuu cha dar es salaam!

kuna mengi nyuma hapo! kuna wengi sasa hawana haki ya kupata elimu ya juu sababu ya udsm!

fahamu hilo!
 
Mkuu mimi nimesoma Denmark kwa miaka mitatu,sasa nimerudi chini kwangu,ila nitarudi tena Denmark,mkwawa cpawezi......,nashindwa hata kufananisha na high schools za nchini Denmark.....
 
umetokea International School?
wenzio ndo mazingira tuliyosomea tangu shule ya msingi mpaka chuo kikuu na hapa nafanya kazi na experts wa ulaya wananikubali mpaka basi.
acha excuses fata kilichokupeleka. piga shule tu

Kaka mm cjasoma international,ila nashindwa,hichi ni chuo au tosamaganga
 

Mkuu,sawa degree nitapata,ila nitarudi mahali niliposomea kwa miaka mitatu,Denmark wameniagiza,kusoma kiswahili afu nirudi kwahiyo sina tabu,ila hapa ni pa booooovu kimiundombinu...
 

DARUSO ndy nini......,hakuna lolote kwani kiongozi mzuri mpaka apelekewe tatizo?,wao hawa attend lectures walione hilo?,kama ww ni mmoja wapo basi hufai kuwa kiongozi.....
 

Si CANADA wala UK mkuu,nilikuwa nasoma Denmark,ila kilichonileta tena Tanzania ni Lugha ya Kiswahili,nikimaliza tu,nasepa nataka nikawanyonye na wao afu nitakuja kuwekeza nchi kwangu.Mwalimu wa Kiswahili analipwa vizuri sana Denmark...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…