Yaani Rais anafitinishwa hivi hivi - Usajili wa laini simu usilete chuki

Si yetu macho tuu inagawa me nimiongoni mwa watu ambao hata office za Nida cjui zilipo, acha tupumulie mipira tukiamini cku zetu za kuwa hewani zinahesabika.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utatumia namba ya kenya Uganda zambia Burundi Rwanda Malawi msumbiji kwa wale waliopo mipakani na pia wa ndani watatumia Whatsapp kupiga simu
 
Muda lazima uongezwe maana CHADEMA wanaweza kutokea mafichoni na kuutumia huu usajili kama kick na kama mnavyomjua mkuu hawezi kukubali lazima aongezemiezi mingine kadhaa
Siyo chadema pekee watanzania wote hawapendi hiyo kero mda ni mchache na NIDA wapo slow slow
 
Sera zinazoenda na wakati ziko Chadema usitegemee CCM kuja na jipya la kumuonea huruma Mwananchi

Ndugu zangu Watanzania uchaguzi 2020 ndio wakati wa kuiadhibu CCM
China Nchi iliyoendelea sana hakuna usumbufu huo kule ukisajili line kama huna kitambulisho chochote unapigwa picha yako na unapewa line wanafanya biashara ndiyo maana uchumi wao unakua haraka, Tanzania kwa visingizio vya ajabu wanaenda kuziletea hasara kubwa kampuni za simu ni hatari kwa uchumi wa Nchi
 
Acha kuwa mtumwa wa kifikra,hatufanyi jambo kwa ajiri ya waafrika kusini au China wao wana mechanism nyingi za kiulinzi ila sisi tunatumia fingerprint na NIDA ili kuboresha usalama wa watumiaji,kuna muda tufikiri kabla ya kujudge mkuu,na hizi Siasa mnazoendekeza ndio zinaua taifa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naona huo muda ni mkubwa sana,nimeshachoshwa na zile SMS za ile pesa itume kwa hii namba xxxxxxxxx jina litakuja mwanaidi mwakatope

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kweli tatizo ni hilo, kwanini hukutumia akili kuliondoa hilo tatizo na unatumia nguvu nyingi???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashauri ofisi za NIDA zifunguliwe kila kata na kwa kuanza tuanze na Chato kwa mzee wetu
 
Idadi ya kura haitegemei wananchi kujitokeza au la ....go figure
 
Huduma ni lazima nakazia lazima iwafuate wananchi walipo
Hela zipo na usafiri upo kwanini wafanye ugumu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…