Yaani sikuhizi mahubiri kila kutoa na majanga ya kutotoa sadaka..

Yaani sikuhizi mahubiri kila kutoa na majanga ya kutotoa sadaka..

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Mpaka rahaa wataelewa tu

Nilikuwa naangalia star TV mahubjri ya kutoa nkaenda TV upendo kutoa

Nkamua niende kanisani huko nakoo n kutoaaa

Narudi hme sasa nasikiliza redio moja ya dini hukoo ndioo balaa wanatishiwa kabjsaa wasipotoa madhara yake.....

Tusiache kutoa sadaka jaman wahubiri wanapambana sana kuhubiria sadaka..

Tusiwaletdown
 
Ukienda kujali wenye Shida kama yatima , wagonjwa na wafungwa ni sadaka kubwa kuliko kwenda kulisha watu ambao unajua hata wakiwa nazo hawasaidii wengine zaidi ya Kujilimbikizia mali wao wenyewe
 
Watoaji wenyewe hawalalamiki naamini wanabarikiwa,lakini mimi na wewe kwanini tulalamike?
 
Back
Top Bottom