ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
- Thread starter
-
- #21
Hawa wote wazuri sema uchawi wa upande wa pili kuwafunga kichawi straikers ndio matokeo yake hayaTimu yenye scout nzuri inamsajiri Sarpong,fiston, yikpe n.k
Hawa wote wazuri sema uchawi wa upande wa pili kuwafunga kichawi straikers ndio matokeo yake haya
Ukumbuke Sarpong ameongoza kiufungaji ligi ya Rwanda kabla hajatua yanga
we utabaki Utopolo wa kudumuHawa wote wazuri sema uchawi wa upande wa pili kuwafunga kichawi straikers ndio matokeo yake haya
Ukumbuke Sarpong ameongoza kiufungaji ligi ya Rwanda kabla hajatua yanga
Ulitaka aandikeje?Kama huna cha kuandika na huwezi kujenga hoja ni vyema ukakaa kimya sio kutuandikia huu utumbo!
Mbona usemi tadeo lwanga nae alikua kwenye mkumbo wa pupa na matokeo ndio Yale dili la kalinyo aliingilia nani wapi Patrick sibomana winga machachari aliingilia nani yikpe mlimpa jina mdogo ake drogba aliwabuguzi nani fiston scout Kali kabisa kawabuguzi nani ngoja niishie hapaHi sasa ni aibu,
Tokea kwa Kagere, Miquessone, Bwalya, Morrison hawa wote walianza maongezi na yanga kabla mkaingiliana bado hi juzi tu mlimtaka hata manyama mliposikia yanga wanaitaka sign yake bahati mbaya au nzuri yanga akajitoa mkabaki na Azam mkabwagwa chini,
Yanga ikaanza mfuatilia Shabaan Djuma tayari mpo nyuma ati na nyie mkapeleka offer yenu!
Mnachotaka kutuaminisha ni kuwa yanga wapo vizuri katika scouting zaidi yenu?
Ni kwamba mafanikio yenu yana mchango mkubwa wa yanga hasa katika kupata vipaji?Wapi mnafeli?
Mlifanya usajiri wa pupa kuhofia yanga mkamchukua Chikwende matokeo ndio yale ,poleni sana.
Jitafakarini na acheni kunyatia nyatia
Haya ndio matatizo yakutumia TECNO, hata ukiandika lazima uandke utopolo tu.Scouting pekee Simba waliyoifanya bila kuigiliza ilikuwa kumsajili mchezaji anayeitwa Danny Serenkuma, mwisho wa siku wakambandika jina la Mrisho Mpoto.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Ni kweli kama una kumbuka mugalu ilibaki kidogo tu atue yanga simba hao pia dingi onyango injinia alishamaliza simba wakaharibu dili usisahu lile la tadeo lwanga simba wakaharbu tena yani simba sjui vipi alafu kuna yule mghana Nikolas gyan hawa wote wangatua yanga mabingwa wa historyScouting pekee Simba waliyoifanya bila kuigiliza ilikuwa kumsajili mchezaji anayeitwa Danny Serenkuma, mwisho wa siku wakambandika jina la Mrisho Mpoto.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Njoo nikutumie wewe ndio akili zako zitakaa sawa, Rage aliwaita mbumbumbu na kweli huna akili.Haya ndio matatizo yakutumia TECNO, hata ukiandika lazima uandke utopolo tu.
Ukiacha kutumia kishundu kufikiri itakusaidia sana maishani na utakuja kunishukuruHi sasa ni aibu,