Yaani Simba mkijitahidi sana Draw. El Merrekh tunashukuru kwa Ushirikiano wenu. Game tushacheza mpaka sasa

USHINDI TU.mechi inachezewa nyumbani.
Hata ngumi tutarusha ili mradi tushinde
 
Jaman muongozo nataka nicheki mech ya al haly na as vita kwenye simu....naombeni link please.
 
Kumbe thd imeanzishwa na mtu ambaye ana maarifa ya uchizi!
Ngoja nilog off.
 
Unaripoti kutokea wapi?
 
Sema uzuri si tunakulaga tuu uwe demu shoga wote mnaliwa tuuu jinunulie mafuta mapema ili jioni upokee wanaume vizuri.
 
Hapo mmewazungusha, je msingewazungusha hali ingekuwaje?
 
Haya
 
Kaa na umbea wako
 
Ninachokuomba tu ni kuwa usiutelekeze uzi wako wakati wa mechi na baada ya mechi kama ilivyo kawaida ya utopolo!!
Ninachokuomba tu ni kuwa usiutelekeze uzi wako wakati wa mechi na baada ya mechi kama ilivyo kawaida ya utopolo!!
Chizi maarifa njoo hapa usiutelekeze uzi wako kama nilivyokuasa mapema. Maana utopolo kama kina Renzo ndo zao!!
 
Kamati ya mapokezi, sasa mjiandae kuwapokea AS Vita. Msisahau kuwatembeza tembeza kama kawaida yenu. Kwa maana hiyo kazi ya mapokezi mnaimudu kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…