Yaani sisi wanaume ni noma

Tua Ngoma

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2015
Posts
3,185
Reaction score
8,294
UNAJIFUNZA NINI HAPA??
```Wanandoa walizoea kudanganyana. Siku moja mke alilala nje aliporudi nyumbani mmewe akamuuliza ulilala wapi. Mke akasema alilala kwa rafiki yake wa kike.
Mme akawapigia simu marafiki 10 wa mke wake na wote wakasema hakulala kwao.
Siku iliyofuata mme nae akalala nje, aliporudi nyumbani mke akamuuliza ulilala wapi. Mme akasema nililala kwa rafiki yangu wa kiume.
Mke akawapigia simu marafiki 10 wa mme wake. 8 walikubali kuwa kalala kwao na wawili ndo wakaua kabisa wakasema eti hadi sasa bado yupo hapa tunakunywa break fast.```
WANAUME KOKOTE MLIKO AGIZENI MAJI MAKUBWA NITALIPIA
 
Wanaume ni mabingwa wa kuua soo!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…