GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
waganga wapigwe marufuku kwenye timu zote hawaleti ushindi, na ushindi ukija si kwa uganga wao bali ni teknikali tu za mchezo. Fukuza wachawi wote kwenye timuMiafrika akili zetu sijui tumelogwa na nani,Kila kitu tunawaza uchawi tu
Juzi nilikua najiuliza huyu dogo doku wa man city mbona sikumskia awali, kuja kufatilia tangia ana miaka minne yupo kwenye academy za mpira ndo nikajua kweli hakuna kubahatisha, wenzetu wamewekeza sana kwenye mpira, Kila mchezaji mkubwa kapita kwenye academy tangia akiwa mdogo mpira wamefundishwa hasa
Sasa nyie Simba endeleeni kusajili mababu afu muwe mnalalamika tu kua mnarogwa, mwaka 2006 Togo alifuzu kombe la Dunia eti waganga nchi nzima wakaenda sijui misitu ya wapi kutambikia timu Yao, afu nikawa nashangaa kua viongozi mabwege wa serikali wakawa wanawachangia posho hao waganga kuwapi morali...
Unajua kilichotokea???
Walipigwa game zote yaani waliambulia point 0 na hawajawahi kushiriki tena kenge hao
Duh!🫢🫢Miafrika akili zetu sijui tumelogwa na nani,Kila kitu tunawaza uchawi tu
Juzi nilikua najiuliza huyu dogo doku wa man city mbona sikumskia awali, kuja kufatilia tangia ana miaka minne yupo kwenye academy za mpira ndo nikajua kweli hakuna kubahatisha, wenzetu wamewekeza sana kwenye mpira, Kila mchezaji mkubwa kapita kwenye academy tangia akiwa mdogo mpira wamefundishwa hasa
Sasa nyie Simba endeleeni kusajili mababu afu muwe mnalalamika tu kua mnarogwa, mwaka 2006 Togo alifuzu kombe la Dunia eti waganga nchi nzima wakaenda sijui misitu ya wapi kutambikia timu Yao, afu nikawa nashangaa kua viongozi mabwege wa serikali wakawa wanawachangia posho hao waganga kuwapi morali...
Unajua kilichotokea???
Walipigwa game zote yaani waliambulia point 0 na hawajawahi kushiriki tena kenge hao
Na wamuondolee suspension MWAMBA WA LUSAKA.Atalaumiwa kila mtu sijui Yanga, Singida, n.k. lakini bila kuujua ukweli na kuufanyia kazi basi hata nafasi ya nne mwaka huu Simba wataisikia kwenye bomba. Kabla saa sita usiku leo Simba ifanye yafuatayo:-
1. Isajili namba tisa "pure" wawili mmoja wa ndani mwingine wa nje. Na wawe wachezaji wenye jicho la goli.
2.Simba isajili aidha kiungo wa juu au namba 10 mbunifu mmoja awe wa ndani au wa nje.
Wachezaji wakuwapisha hao wa kwanza awe Saidoo wengine viongozi watachagu wenyewe.
Ni mtizamo tu.