Hii inatukutanisha sisi mabingwa wa kauli,,, kauli Udambwi udambwi
Kauli mantanshanta ,kauli muunganiko
Ingekuwa kwenye hip hop basi ungweweka kina Msodoki au Stamina na Vijikauli vya
Yaani lazima Ulambe
Labda nianze mimi na kauli
"WAKUU NIKIPATA KAMBA NTAFUNGA NDO"
"WAKUU NIKIPATA NGAZI MI NTAPANDISHA MASHETANI"
"WAKUU MAISHA SAFARI MIE NIMEKUNYWA K VANT"
TIRIRIKA hapa