Huu ni ujingaKuna Dem nimemfukuzia kama mwezi Moja
Ukimshobokea sana atakudharau mwisho wa siku unaitwa mlokoleMapenzi mzeya
Umemshauri vyema sana.Ukimshobokea sana atakudharau mwisho wa siku unaitwa mlokole
Next time balance shobo
You are a king tambua thamani yako
Mkuu,Rejea kichwa Cha habari hapo juu Kuna Dem nimemfukuzia kama mwezi Moja hivi ila alichonijibu et Mimi Nina pigo za kichungaji
Kiukweli Mimi sio mchungaji wala Nini ila sijajua kajifikiria nini kunitamkia hivyo halafu mimi mbona mtu fulani simple tu
Kiukweli kanikata mzuka kabisa hapa nawaza ni bora kula kubwa tu.