Yaani unanikataa kisa nina pigo za kichungaji!

kwanza amekubariki kwa kukujulisha kazi unayopaswa kuifanya yaan uchungaji. Tafadhali furahi na kushangilia 🤓

Jambo la pili amekuepusha na mzigo mzito ambao ungekusumbua na kukulemea sana kwenye huo uhusiano, uchumba na pengine ndoa baadae. Mshukuru Mungu sana...

Sasa,
Songa mbele tafuta hiyo kazi umeelekezwa na kwa Neema na Baraka za Mungu haja ya Moyo wako itatimia kwa haraka zaidi ikiwa sambamba na hilo...
 
Acha kuvaa mabwanga unazidiwa mpaka na wasira na mizengo wanpigilia suti modo
 
Unafuatilia demu mwezi mzima. Duuh!
Ndio maana umeitwa mchungaji.
Demu unatongoza siku moja, mbili anajifikiria kama kuna ulazima. Hataki unaweka pembeni
 
Kama kweli umejibiwa hivyo mkuu, mwache ni swala la mud tu atakukumbuka. Itakua unaonekana hivyo kwa kuwa una pigo za kujiheshimu ambazo zinakufanya uonekane mtu mzima. Sio mesi huyo bado anataka kuruka na wanyoa viduku, ndio anawaona wajanja na wewe mchungaji ni mshamba. Wakisha mzalisha kumwacha atamkumbuka mchungaji na kutamani aolewe nae.
 
Tatizo vijana mmekua wapuuzi na mnadhalilisha uanaume.. mtu akikukataa siku ya kwanza temana nae. Siku 30 zote umezipoteza kipuuzi sana.
Usimseme, kupenda na pengine aliona potential za waife material. Mali lazima itafutwe kwa jasho. Duniani ni fight for fittest.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…