Yaani wasanii wengine hawamo Wikipedia na wakati wanafahamika au wanasubiri serikali iwaenzi

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Posts
2,249
Reaction score
1,813
Kuna wasanii hawamo Wikipedia sasa nashangaa sijui wamepungukiwa nini, mtu kama soggy doggy, D.knob siwaoni au ninyi ndugu mnawaona?

Ebu waambieni wafanye hivyo, Hivi madogo wa baada ya miaka 50 mbele watawatambuaje?

Ndio nasikia watu wanalalamika eti serikali haitunzi historia, kama ni hivyo basi mtumie Wikipedia iwatunzie.
 
Mi nimehangaika kujua miaka ya lady jay dee nimegonga mwamba aisee.hata wikipedia hakuna!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…