Kama jeshi likiamua kutenda haki.Kuna kunakuchoka sasa,watu watachoka
Ajabu ya Tanganyika, kiongozi wake ni kutoka zanzibar, hivi mahamud abasi anaweza kuwa kiongozi wa Israel?, (unapoandika thread uwe unatumia akili kidogo japo huna akili zenyewe force ziwe zinakuja)Kiongozi wa Israeli ajulikanae kama Bibi au Netanyahu ameapa kuwa wapalestina chini ya Hamasi hawatakuwa na nchi na watabaki chini ya utawala wa kiyaudi milele.
Na Zanzibar nayo ndio hivyo hawataweza kupata uongozi chini ya chama kingize zaidi ya CCM ,liwalo na liwe hakutatokea Chama kikaiondoa CCM,CCM wapo tayari kuuwa na yameshatokea alimuradi Tanganyika waitawale Zanzibar chini ya kivuli cha CCM aka Muungano.
Zanzibar hakuna jina la Suluhu ,angaza utaona jina hilo ni la wapi Zanzibar au Tanganyika ? Nakusaidia kwa hizi akili zangu ,yaani nimekuchangia akili sasa changanya na zako.Ajabu ya Tanganyika, kiongozi wake ni kutoka zanzibar, hivi mahamud abasi anaweza kuwa kiongozi wa Israel?, (unapoandika thread uwe unatumia akili kidogo japo huna akili zenyewe force ziwe zinakuja)
Mkisha wabagua watanganyika, laana itaanza kukutafuneni ninyi wenyewe!,...Zanzibar hakuna jina la Suluhu ,angaza utaona jina hilo ni la wapi Zanzibar au Tanganyika ? Nakusaidia kwa hizi akili zangu ,yaani nimekuchangia akili sasa changanya na zako.
Binafsi siutaki huu muungano fakeKuna kunakuchoka sasa,watu watachoka
Sa utafanyajeBinafsi siutaki huu muungano fake
Ipo siku utavunjika kwa namna yoyote hauna faida kwa TanganyikaSa utafanyaje
Ni kweliIpo siku utavunjika kwa namna yoyote hauna faida kwa Tanganyika
Basi sawaNi kweli
Wacha iwe ivyo,jini likujualo halikuli likakwisha,walai waTangamyika mnatunyetanyahu,Wazanzibari hawana ubaguzi ,labda hujaelewa lengo na mnatumia misamiati kuupoteza uma kama alivyotumia baba yenu wa Taifa. Fuatilia historia ya Kambona ndio utamfahamu Mwalimu ,Mkisha wabagua watanganyika, laana itaanza kukutafuneni ninyi wenyewe!,...
Mwl, alizisoma vyema nafsi zenu tangu awali...........