Yabainika, Tunda(Cleopatra) anatumia zaidi ya laki 3 na nusu kwa siku .

tena shukuru mnooo wanawake wasiokuwa na shughuli maalum kipindi hiki mbona kazi ni kupoteza rinda tu mpaka huruma
Labda wanapenda pia hako kamchezo ka kutoa jicho maana ingekua wanatoa kwa shida wangekua wanatoa mara moja au mbili wanapata kamtaji wanatafuta kitu cha kufanya japo biashara nayo ngumu sana siku hizi.
 
Punguzeni uongo,

unaijua laki tatu ya usawa wa anko Magu?

Ina maana kwa mwezi anatumia milioni

kumi na laki tano....hizi story kawadanganye

mabek tatu .....ndio staili zao hizi
Bro hiyo hesabu sijaielewa 300000*30=10500000? Why not 9000000mlns of money?
 
Labda wanapenda pia hako kamchezo ka kutoa jicho maana ingekua wanatoa kwa shida wangekua wanatoa mara moja au mbili wanapata kamtaji wanatafuta kitu cha kufanya japo biashara nayo ngumu sana siku hizi.
nahisi uvivu nao unapelekea upende tu huo mchezo na udada wa mjini nao ukikolea si unajikuta unataka kutengeneza pesa bila kuhangaika
 
nahisi uvivu nao unapelekea upende tu huo mchezo na udada wa mjini nao ukikolea si unajikuta unataka kutengeneza pesa bila kuhangaika
Udada wa mjini ndo unawacost maana wanataka simu nywele waende sehemu nzuri wakachukue snapchat na hela hawana lazima watoe jicho tu
 
Mara mwisho kaja pale ofisini kusafisha mshono wake njia ya haja kubwa alikuwa anaonekana ni mwingi wa MAWAZO......
 
Hii tabia ya kuruka ukuta kwanini vjana mnaiendekeza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…