Yabainika, Tunda(Cleopatra) anatumia zaidi ya laki 3 na nusu kwa siku .

Jamani jamani!! mimi namuwazia tu mzazi wa huyu binti kama anapitia huku sipati picha.
 
The wachaga wanahitaj ukombozi.
Mchaga hana hata biashara?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]1.2 followers wa insta au money tuwe sirious jaman
 
Naona Ma "agent" wako kazini! Huna nyumba, huna gari, huna kipato cha kueleweka mpaka ucheze uchi kwenye video ya wasanii, yote inamaanisha nini?! "mnyama mbugani"!
Wanatuharibia tu watoto wengine wa kike kwa kufikiria maisha ni hotelini, chumbani au chooni kila siku..
 
Yaani mtu ananunua mfinyo wa elfu 30.anapiga picha.

Anaenda gym ya kulipia 3000 kwa siku anapigiamo picha,

tayari kishakua bilionea wa kiwango cha bilion 1.3?...!!
Alafu ukienda TRA kwa mwaka hata laki 5 hukuti kachangia
 
uzi ka huu si wakuchangia hasa ka umeletwa na dalali wa machangu
 
Huyu Tunda namuweka katikat ya visu kutoka Babati anafunikwa mbaaali kabsa.

Ni mzuri ila si wa kias icho ndugu, tembea ujionee Tz ina mengi yakupendeza achana na Insta.
 
Kwa pale alipofikia Naongeza miaka 5 tena nione atakuaje
 
Huyu Tunda namuweka katikat ya visu kutoka Babati anafunikwa mbaaali kabsa.

Ni mzuri ila si wa kias icho ndugu, tembea ujionee Tz ina mengi yakupendeza achana na Insta.
ngoja nikatembelee huko nitaleta majibu hapa...ila huko si ndo kwa wambulu??????????hao ni noma kwa kugawa kama.....
 
ngoja nikatembelee huko nitaleta majibu hapa...ila huko si ndo kwa wambulu??????????hao ni noma kwa kugawa kama.....

Mkuu izo za kigawa huwa ni stori tu ni bora kutokuziamini pale utakapoenda huko, ila kwa uzuri wale watoto ni hatarii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…