njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
UPDATE tusi we boyaaa umekariri tusi moja tu?nikipost hapa habari ni me screenshot kwa Kigwangwala ina maana automatically mimi ni Kigwa? IQ yako ina matopeKumbe huyu njaakali sio Mwanaume? Siku zote nilikuwa nadhani Mwanaume eti. Post imenijulisha jinsi yake.
ana watu wake kule ndani wanaomtumia kuzua taharuki na vurugu..subiri simba iteleze kidoogo uone moto wake atakaowashaSimba wasirudie tena kuambatana na yule kubwa la maadui.
anatumia platform ya media zake na aliyoajiriwa kule mawinguni kumsema chief excutive officer.ana watu wake kule ndani wanaomtumia kuzua taharuki na vurugu..subiri simba iteleze kidoogo uone moto wake atakaowasha
Alinishangaza sana kipindi kile kuponda safari za Barabara na lipstick yake, dah na aliongea kwa hisia kweli
Haya mataokeo ndyo jumapili ubao utasomeka ivyo ATLETICO DE UTOPOLO O AL HILAL 8Mechi ya kirafiki huko Sudan
AL HILAL 8
Khartoum boys 0
LILEPO HAT TRICK
anamchukia sanaanatumia platform ya media zake na aliyoajiriwa kule mawinguni kumsema chief excutive officer.
Huyo ni shabiki wa yangaUPDATE tusi we boyaaa umekariri tusi moja tu?nikipost hapa habari ni me screenshot kwa Kigwangwala ina maana automatically mimi ni Kigwa? IQ yako ina matope
sasa digala aliiishukia hadi lipstick yake au nayo ina makosa?Kwahiyo anataka asifiwe kila siku hadi anapokosea!
kuna watu ni wapumbavu sana
za uso hatari, jino kwa jino inaitwa hiyohahaha
naona digala kama digala kala za uso
unaweza kuwa wewe ni pumbavu lamapumbavu!Kwahiyo anataka asifiwe kila siku hadi anapokosea!
kuna watu ni wapumbavu sana
Let's go with Babra!Wololooooooooo haiya haiya haiya, watetezi wa Kanjanja Senior mnaruhusiwa kuja kuporomosha matusi na kudai nina chuki binafsi.
Kweli ulitarajia mtu ambaye huwa unachukia safari zake na lipstick yake una bifu nayo akuchekee tu kama ndalakyuya, wenye akili walijua hukuwa pale kwa nia nzuri.
Kama habari hii ni ya kweli basi kongole kwako Barbara Gonzalez, jino kwa jino dadeeeki!
GoView attachment 2384594
tunamuunga mkono sana sana tuLet's go with Babra!
Punguza makasiriko dada mkubwa,bado mnayo nafasi ya kupindua meza huko arabuni.Kwahiyo anataka asifiwe kila siku hadi anapokosea!
kuna watu ni wapumbavu sana