Tetesi: Yadaiwa simu za Oppo, Samsung pamoja na Infinix zinaingia nchini bila kulipiwa kodi

Tetesi: Yadaiwa simu za Oppo, Samsung pamoja na Infinix zinaingia nchini bila kulipiwa kodi

MoneyHeist4

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2017
Posts
2,134
Reaction score
3,192
Kama panavyosomeka hapo leo nikiwa katika harakati zangu za mizunguko huko mjini nilitembelea sehemu yenye maduka ya simu nilishangaa kukuta kila duka limepanga simu za Tecno, Itel, pamoja na Nokia.

Nilipouliza nikaambiwa kuna wakaguzi wapo maeneo haya na kuna stock ya mtu imekamatwa na wadai simu za Oppo, Samsung pamoja na Infinix zinaingia nchini bila kulipiwa kodi, simu hizo sijui zinaingia kinyemela bila serikali kupata chochote ndiyo sababu wauzaji wa madukani wameamua kutoa simu hizo katika maduka yao nakubakiza Tecno pamoja na Itel.

Je ni kweli hizi simu zinapita kinyemela bila kulipiwa kodi? Ina maana miaka yote hizi simu zilikuwa zinaingia nchini bila serikali kufahamu au ni mchezo tu unafanyika?
 
Back
Top Bottom