Yadi ipi inayouza magari mazuri Tanzania na Zanzibar na inachukua muda gani ukilipa kuchukua gari?

Nunua kote lakini usinunue ile sehemu inaitwa sijui Jan sijui kitu gani pale Mbuyuni/Ada Estate...

Utajikuta unanua gari ina mapungufu kibao, pale kuna waswahili vishoka huwa wanachomoa spare nzima kwenye gari ili wauze juu kwa juu, wanapachika mbovu...

Unanunua gari inatembea fresh lakini baada ya muda unaanza kukutana na vipengele...
 
Usihangaike na ma yard, walaghai hao.

Njoo nikupe chuma hicho, kimefugwa balaa. Alikuwa anatumia mwanamke mzungu. Mchawi rangi mkono mmoja tu.
Full ac.

Gari haimjui fundi.

1725380290549.png
 
Nunua kote lakini usinunue ile sehemu inaitwa sijui Jan sijui kitu gani pale Mbuyuni/Ada Estate...

Utajikuta unanua gari ina mapungufu kibao, pale kuna waswahili vishoka huwa wanachomoa spare nzima kwenye gari ili wauze juu kwa juu, wanapachika mbovu...

Unanunua gari inatembea fresh lakini baada ya muda unaanza kukutana na vipengele...
Mbona ile ndo yard kubwa kwa dar mzee,labda ulikuwa tu na bahati mbaya. Yard zingine ndogondogo zinachukulia magari pale na kuzipeleka kwenye yard zao.hilo nimelishuhudia kabisa.
 
Jamaa zangu kadhaa wameuziwa spare na vishoka wa pale, zinatolewa parts ambazo ni rahisi kuona tatizo kwa wakati huo...
 
Binafsi nimeshangaa pia....Ndiyo mtu wa kwanza namsikia..

Kwa Dar huwezi kuulizia Yard yakueleweka ukaacha kutajiwa Jan international...
 
Jamaa zangu kadhaa wameuziwa spare na vishoka wa pale, zinatolewa parts ambazo ni rahisi kuona tatizo kwa wakati huo...
Ile security iliyoko pale Jan sidhani kama wanaweza kufanya hivyo...
Hao wanaouziwa parts pengine wanadanganywa kuwa zinatoja Jan kumbe siyo..

Pale Jan ukitaka kuchukua gari na limekuja na hiyo changamoto wanakuambia kabisa..
 
Trust me, nisingeandika kitu JF kama ningekuwa sina uhakika...

Sometime tunaandika JF kwa kifupi sana ili kufikisha ujumbe, na kujaribu kuficha identity...
 
Sijafikiria kununua gari kwenye Yard zetu, maana Wabongo tunajijua Kwa janja janja

Kwani kuagiza na kusubiri miezi 2 gari yako ifike Kuna shida gani Chifu?

Kumbuka mwenda pole hajikwai 🤗
 
Back
Top Bottom