Baija Bolobi
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 1,093
- 1,733
Hawa watu wamelewa madaraka mpaka wanawapuuza wananchi.Inasikitisha sana.:A S angry:Sasa ni wazi, kuna jitihada za chini chini kupunguza kura za urais za Dr. Slaa. Wazalendo ambao ni wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo 5 wametuthibitishia kuwa, wamekuwa katika wakati mgumu huku wakishinikizwa na vijana "UWT" kuwa wapunguze kura hizo na kuwa ni agizo kutoka juu. Baadhi ya wasimamizi wametishiwa hata kuhamishwa baada ya uchaguzi au kushushwa vyeo.
UWT wanatumia mwanya wa wagombea ubunge kuwa bize na kura zao zisiibiwe huku wakiziacha za Dr. Slaa bila ulinzi. Lengo la kupunguza kura za Dr. Slaa ni ili kutimiza ndoto za JK kushinda kwa zaidi ya 80%.
Habari ndiyo hiyo.
Sasa ni wazi, kuna jitihada za chini chini kupunguza kura za urais za Dr. Slaa. Wazalendo ambao ni wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo 5 wametuthibitishia kuwa, wamekuwa katika wakati mgumu huku wakishinikizwa na vijana "UWT" kuwa wapunguze kura hizo na kuwa ni agizo kutoka juu. Baadhi ya wasimamizi wametishiwa hata kuhamishwa baada ya uchaguzi au kushushwa vyeo.

sasa ni wazi, kuna jitihada za chini chini kupunguza kura za urais za dr. Slaa. Wazalendo ambao ni wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo 5 wametuthibitishia kuwa, wamekuwa katika wakati mgumu huku wakishinikizwa na vijana "uwt" kuwa wapunguze kura hizo na kuwa ni agizo kutoka juu. Baadhi ya wasimamizi wametishiwa hata kuhamishwa baada ya uchaguzi au kushushwa vyeo.
Uwt wanatumia mwanya wa wagombea ubunge kuwa bize na kura zao zisiibiwe huku wakiziacha za dr. Slaa bila ulinzi. Lengo la kupunguza kura za dr. Slaa ni ili kutimiza ndoto za jk kushinda kwa zaidi ya 80%.
Habari ndiyo hiyo.
Watatawala lakini nafsi zao zitawasuta kwa kipindi chote kwa sababu watakuwa wanajua mioyoni kuwa watanzania wamewakataaHawatatawala
Sasa ni wazi, kuna jitihada za chini chini kupunguza kura za urais za Dr. Slaa. Wazalendo ambao ni wasimamizi wa uchaguzi katika majimbo 5 wametuthibitishia kuwa, wamekuwa katika wakati mgumu huku wakishinikizwa na vijana "UWT" kuwa wapunguze kura hizo na kuwa ni agizo kutoka juu. Baadhi ya wasimamizi wametishiwa hata kuhamishwa baada ya uchaguzi au kushushwa vyeo.
UWT wanatumia mwanya wa wagombea ubunge kuwa bize na kura zao zisiibiwe huku wakiziacha za Dr. Slaa bila ulinzi. Lengo la kupunguza kura za Dr. Slaa ni ili kutimiza ndoto za JK kushinda kwa zaidi ya 80%.
Habari ndiyo hiyo.
Nyinyi wanajamii forum mnaojiita wasoma acheni kua wajinga...pumbafu nyie
Mkishinda mnashangilia ila mkiona mnakaribia kushindwa ndio mnaanza kulalamika.
Hivi usomi wenu uko wapi???pale kwenye ukweli simameni kwenye ukweli...acheni kulalamikia ujinga.
Habari ndio hiiioooooooooooooooo
CCM is so leadiiing....
pumbaf wakubwa