Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,355
- 1,956
brother hakuna cha slaa wala slow ccm itatawala nchi hii mpaka kiyama mpaka pale waTZ watakapo amka kwenye usingizi mzito
brother hakuna cha slaa wala slow ccm itatawala nchi hii mpaka kiyama mpaka pale watz watakapo amka kwenye usingizi mzito
Nakose tafadhali kama huna la kuchangia hama blog hii. hivi wewe kwenu ni Chalinze? na hata kama ndo hivyo nchi hii si ya chichiemu wala wewe na baba yako jei kei. Hacha ujinga.
Nyinyi wanajamii forum mnaojiita wasoma acheni kua wajinga...pumbafu nyie
Mkishinda mnashangilia ila mkiona mnakaribia kushindwa ndio mnaanza kulalamika.
Hivi usomi wenu uko wapi???pale kwenye ukweli simameni kwenye ukweli...acheni kulalamikia ujinga.
Habari ndio hiiioooooooooooooooo
CCM is so leadiiing....
pumbaf wakubwa
Hata hii taarifa yenyewe pia ni ya kipumbavu.Haina kichwa wala mguu.basi ni wapumbavu
ππππWatanzania walishaamka siku nyingi ndugu yangu, walikuwa wanasubiri kuanza kutembea. Kwa uchaguzi huu watanzania wamepewa nguvu na moyo kwamba inawezekana pasiposhaka kuitoa CCM madarakani na Tanzania ikaendelea. Mshindi katika uchaguzi huu sio CCM wala CHADEMA, ni watanzania wenyewe. Kilichofurahisha zaidi katika uchaguzi huu ni kwamba wasomi na wakaazi wa mijini wamechukua jukumu lao la kuongoza mageuzi kikamilifu. I will write more on this in future.