Yafahamu magari ya maskini na matajiri

zwangandaba

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2023
Posts
747
Reaction score
1,404
Habari zenyu.

Sihitaji povu kutoka kwa mtu yeyote maana maskini povu lao ni zaidi ya sabuni ya OMo.

Nweka orodha ya magari ya watu maskini na tajiri. Orodha ziko 3. Fukara,Maskini wenye mwelekeo na matajiri.


1. Maskini/fukara
IST
Ractics
Corola
corona
Carina
Ruaum
Rumion
premio
Stallet
Rav 4
Cami
Cardina
Bravis
Vits




2. Maskini wenye nafuu(Maskini walioboreshwa/ maskini waliochangamka)

Subaru(aina zote)
Rush
Voksiwagen Tiguan
Pajejero
Nisan extrail,Dualis
Crown
Mark X
Kruger
Fotuner
Harrier
Lexus


3.Gari za Matajiri

V. Tourage
Rangerover
Discovery
Rolls Royce
Toyota Vx
Mercedes Benz
BMW X5
Hammer
Lamborghin
Porsche
AstonMatin
Bugatti Chilon
Aud
Bentley
Jaguar
Ferrarry
Maserati
Pagani Huayra

List ni ndefu sana, pngeza za kwako bila povu.
 
Nchi gani unaongelea??wale wenye pikipiki,baiskeli na tusio na chombo chochote tuko group gani,masikini pro max?kapuku?maiti au

Hii list kwa africa labda south africa sii bongo.bongo kilamqenye gari ni tajiri
 
Gari ni gari mengine yote ni mbwembwe
 
πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…