Yafahamu magari ya maskini na matajiri

Mwandishi tulia uandike vzr,
 
Kwa matajiri ongeza mnyama Volvo, Nissan V8
 
Kikubwa hawaendeshi gari za wizi za sauz
 
Acha kutaja premio kabisa shindwe 🏃‍♀️ 😄 muonee
 
Toa Rav4 kwenye iyo list
 
Hivi kumbe bado kuna wamiliki wa toyota starlet nikiwaonaga barabarani huwa nacheka sana libaba limejaa lote ndani ya hili gari. Sisi wamiliki wa mazda cx 5 unatuweka kwenye kundi gani?
 
Ukitoa hilo kundi no tatu apo wanaobakia wote ni sawa tu na wenye bajaji, boda , baiskeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…