Yafahamu magari ya maskini na matajiri

Uliowataja hapo wote ni matajiri

Bongo kuwa na gari wewe unahela
 
Hivi Brevis nazo ni za maskini siyo?? Hebu leta evidence hata moja kwa maskini anaemiliki Brevis,🀭🀭🀭🀭 au anatafuta kuilaza njaa tu familia yake!!
 
SCANIA......MATAJIRI
VOLVO.........MATAJIRI
ACTROS......MATAJIRI

HOWO.....MASIKINI
FAW........MASKINI
YUTONG......MASIKINI
 
Nilipoona tu "Habari zenyu" nikajua nini kinafuata asee...
 
Wewe una ipi mkuu?
 
Tafadhali itoe rav 4 hapo, haswa hizi new models only mtu wa uchumi wa kati au tajir ndio ataweza afford, unaweka rav 4 group moja na premio na vits? Have some respect man
 
Hizo rv4 ni bland za watu maskini waliochangamka.( watumishi wa serikali,wanajeshi,polisi na wafanyabiashara wanaijitafuta)

Hakuna rajiri anatenbelea RV4.
Rav 4 new model unazifahamu au unabwatuka? Bei iko juu, inafukuzanq na forster new model at a time hata kumzid mazda cx-5
si watumis wengi wa serikal wanaweza afford rav 4 , toa kwenye hilo,, unless ni wakuu wa idara au wakurugenz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…