Yafahamu majina ya utani ya wachezaji wa zamani tanzania

Omar Chogo si alikuwa wa Simba Mkuu??

 

Willy Mwaijibe: Mokili
George Kulagwa: Best
Deo Njohole: OCD
Daudi Salum: Bruce Lee
Omary Chogo: Mluya au Chemba
Mohamed Bakari: Tall
Salim Shubeti : Uncle Shubet
Mohamed Rishard: Adolph
Steven Mapunda: Garincha
Jumanne Hassan: Masimenti/ de Nascimento yaani jina halisi la Pele wa Brazil: Joao Arantes de Nascimento
Haidari Abeid: Muchacho
Zamoyoni Mogela: Golden Boy
 
Thomas Mashara Uncle Tom

Hamis Gaga- Gagarino
 
Nadhani aliyekuwa anaongoza kwa majina mengi ya utani ni Salum Kabunda...

Huyu bwana baadhi ya majina yake ya utani yalikuwa ni Ninja, Msudani na Baba Semeni...
Hamfikii Fredy Felix Katalahya Minziro Majeshi Baba ....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…