Hujamaliza,tupe link tujisomee wenyeweIdara ya Itikadi na Uenezi ya CCM kwa sasa inaongozwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Majukumu ya Idara hiyo kama yaliyovyoanishwa kwenye Tovuti ya CCM ni pamoja na;
- Kushughulikia masuala ya msingi ya Itikadi na Sera za Chama Cha Mapinduzi.
- Kueneza na kufafanua Itikadi na Sera za CCM.
- Kupanga na kusimamia Mafunzo na Maandalizi ya Makada na Wanachama.
- Kusimamia Vyombo vya Habari vya Chama, Mawasiliano na Uhamasishaji wa Umma kwa Jumla.
- Kuongoza na kusimamia maandalizi ya Sera, Programu na Ilani za Uchaguzi za CCM.
- Kusimamia Utafiti, Maktaba na Nyaraka za Chama
Punguza umamaPeleka taarifa ukaguliwe wewe, kama una madudu jisalimishe
To me Kingereza yeye ni Publicity Secretary tu,sasa kajivisha madaraka duh!Waziri Mkuu na wengine wote chini yake wapeleke taarifa za utendaji wao kwake,sijui targets anawapangia yeye.It is so ridiculous.Pomposity ya kiwangi hiki sijawahi kuiona mimi.Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM kwa sasa inaongozwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Majukumu ya Idara hiyo kama yaliyovyoanishwa kwenye Tovuti ya CCM ni pamoja na;
- Kushughulikia masuala ya msingi ya Itikadi na Sera za Chama Cha Mapinduzi.
- Kueneza na kufafanua Itikadi na Sera za CCM.
- Kupanga na kusimamia Mafunzo na Maandalizi ya Makada na Wanachama.
- Kusimamia Vyombo vya Habari vya Chama, Mawasiliano na Uhamasishaji wa Umma kwa Jumla.
- Kuongoza na kusimamia maandalizi ya Sera, Programu na Ilani za Uchaguzi za CCM.
- Kusimamia Utafiti, Maktaba na Nyaraka za Chama
Mkuu to me Makonda ni Publicity Secretary,sasa kutaka Mawaziri na wakuu wa Taasisi wapeleke kwake taarifa za utendaji wao si sawa na kawadhalilisha.Ndio serikali hii ni ya CCM,lakini mamlaka hiyo ni ya Katibu Mkuu wa Chama na zipo protocols za kichama,si hivi anavyofanya Makonda.
Kijana huyu anapenda sifa sana,anachotafuta ni uadui tu na watu,na ataupata.
Makonda ni mtu mwenye ulemavu wa kiburi cha madaraka hasa akisha yapata hilo ndilo tatizo lake kubwaMkuu to me Makonda ni Publicity Secretary,sasa kutaka Mawaziri na wakuu wa Taasisi wapeleke kwake taarifa za utendaji wao si sawa na kawadhalilisha.Ndio serikali hii ni ya CCM,lakini mamlaka hiyo ni ya Katibu Mkuu wa Chama na zipo protocols za kichama,si hivi anavyofanya Makonda.
Kijana huyu anapenda sifa sana,anachotafuta ni uadui tu na watu,na ataupata.
Chama lazima ki-stop this nonsense.Majuzi nilimsikia akim-reprimand Waziri mmoja wa Kanda ya Ziwa,nilimhurumia sana yule Waziri,na yeye nadhani hajitambui.Kuna katabia kanalelewa na kakiachwa kataenda kuwaabisha hadi viongozi wakuu wa nchi. Kuna tararibu za kiuwajibikaji serikalini na kwa chama. Hizi fujo za kuwakaripia mawaziri na viongozi wengine ambao wako accountable kwa Rais, Waziri Mkuu na katibu mkuu kiongozi ni za kidhalilishaji. Iko siku tutasikia hadi speaker, jaji mkuu na makamu wa Rais wanapewa siku 7 na mwenezi
Well saidPeleka taarifa ukaguliwe wewe, kama una madudu jisalimishe
Wazembe serikalini ni wengi sana, acha waaibishwe, acha wadhalilishwe, Bila kuchukua hatua Yesu atarudi atatukuta hapa hapaKuna katabia kanalelewa na kakiachwa kataenda kuwaabisha hadi viongozi wakuu wa nchi. Kuna tararibu za kiuwajibikaji serikalini na kwa chama. Hizi fujo za kuwakaripia mawaziri na viongozi wengine ambao wako accountable kwa Rais, Waziri Mkuu na katibu mkuu kiongozi ni za kidhalilishaji. Iko siku tutasikia hadi speaker, jaji mkuu na makamu wa Rais wanapewa siku 7 na mwenezi
Tunaomba mtuelewe,Makonda ni Publicity Secretary,utendaji wa viongozi wa juu wa Serikali na Chama is non of his damn business,ni kazi ya Katibu Mkuu wa Chama,utaratibu lazima ufuatwe.Anachofanya Makonda ni vurugu na aache.Yupo sahihi chama kimemtuma, hatuitaji watendaji wabovu...
Haya mambo ni kawaida katika chama chetu ktk kuisimamia serikali na watendaji wake
View attachment 2811956
Nakubaliana na wewe mkuuSasa kama Rais, waziri Mkuu, Katibu mkuu kiongozi, Katibu mkuu wa CCM wako kimya nani atasimamia uwajibikaji?
Inawezekana wote wamekubaliana wamtumie yeye, asingefanya haya bila ridhaa ya wakubwa zake. Wananchi wanataka matokeo.
Hizo Hizo vurugu ndio zitakazoleta uwajibikaji, wananchi tunataka uwajibikaji nothing else, keep moving on MakondaTunaomba mtuelewe,Makonda ni Publicity Secretary,utendaji wa viongozi wa juu wa Serikali na Chama is non of his business,ni kazi ya Katibu Mkuu wa Chama,utaratibu lazima ufuatwe.Anachofanya Makonda ni vurugu na aache.
Huu ni mkakati wa kutaka kuwapunguza pembe ambao wamekuwa ni vichwamaji kama Nape, Mwigulu na January Makamba. Wanajiona wao ni untouchable. Unakumbuka juzi alimpigia Kidata akamshiti na watu wakamcheka Makonda?Kuna katabia kanalelewa na kakiachwa kataenda kuwaabisha hadi viongozi wakuu wa nchi. Kuna tararibu za kiuwajibikaji serikalini na kwa chama. Hizi fujo za kuwakaripia mawaziri na viongozi wengine ambao wako accountable kwa Rais, Waziri Mkuu na katibu mkuu kiongozi ni za kidhalilishaji. Iko siku tutasikia hadi speaker, jaji mkuu na makamu wa Rais wanapewa siku 7 na mwenezi