Yafuatayo ni mambo yangu makubwa Saba ( 7 ) tu ambayo 'nimeapa' sitokuja kuyarudia Kufanya tena. Je, wewe yako ni yapi?

Yafuatayo ni mambo yangu makubwa Saba ( 7 ) tu ambayo 'nimeapa' sitokuja kuyarudia Kufanya tena. Je, wewe yako ni yapi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Kuamulia Ngumi baina ya Mwanaume kwa Mwanaume kwani upo uwezekano Ngumi zao zote zikaishia Usoni Kwako na Kuumuka.
2. Kupatanisha Mgogoro wa Kimapenzi wa ama Wapenzi au Wanandoa kwani wakiwa Uchi wa Mnyama Kitandani wanakukandia tu.
3. Kujiandaa Kikamilifu kabisa Kufanya Mapenzi na Mwanamke ambaye hukumuandaa matokeo yake haji na unaishia tu Kupiga Nyeto.
4. Kumshadadia Mgombea fulani wa Urais na Chama chake huku Wewe ukiwa unamuamini kabisa wakati Watanzania hawamuamini.
5. Kumshangilia kabisa na kwa Moyo Mmoja Mchezaji Mbwana Samatta ukidhani ataendelea Kubakia UK kumbe anaenda Uturuki.
6. Kumuwahia Demu Siti katika DalaDala za Mbagala - Stesheni zinazosumbua ili Umtongoze na Ukimtongoza anaishia Kukusonya.
7. Kwenda Kusali kwa Mtumishi fulani hivi Maarufu nchini kwa sasa na Kununua Maji yake kwa Tsh 1,500/ wakati Yeye kapewa bure.

Na Wewe pia unaweza ukatirirka na kuserereka na yako tafadhali.
 
Siezi gombana na mtu kivyovyote vile
Binadamu kamili lazima agombane na watu wewe una kasoro mkuu

Hata uwe perfect kiasi gani binadamu Ni vitu complicate Sana lazima ukwazane nao tu
Siongelei kupigana
Kupigana Ni Mambo ya kizamani japo Kuna wakati unaweza kushindwa kuepuka
Hilo
 
Namba 1. Nilimuumiza rafiki yangu kea ngumi ya mdomo, alivimba sana, alikuja kuamua ngumi nikimtandika mjinga flani, hakujua kuwa nikikasirika huwa sifai.
5. Hiii iacheni tu
 
kuwaomba kura Wajumbe baada ya usiku wote kushinda na mm nikiwagawia mlungula
asubuhi kwenye kura sikupata hata moja (Kawe hiyo)
 
Back
Top Bottom