Yah: Fremu za duka

TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
11,763
Reaction score
11,873
Wakuu, mwenye uzoefu naomba mwongozo namna ya kupata fremu maeneo ya Mwenge, Ubungo au Manzese...
Kuna jamaa yangu anataka kufungua duka la kuuza nafaka kwenye mojawapo ya maeneo hayo na analalamika kuwa madalali ni wasumbufu na hawako straight kumsaidia.
Naomba mnipatie na uzoefu wa bei zake pia.

Natanguliza shukrani.
 
Waungwanaaaaaa, munisaidie!!!!!!!!!!
 
ninazo fremu manzese bei laki na nusu kwa mawasiliano 0712212220
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…