NO USIANZIE TCU,
1. Nenda ktk chuo unachotaka kuhamia,
2. Onana na head of department wa course unataka kusoma katika hicho chuo.
3. Mueleze shida yako , kama bado kuna nafasi akupe barua ai-address kwa mkuu wa TCU kumwambia nafasi umepata.
4. Peleka hiyo barua TCU, utapewa maelekezo ya lini ukacheki majibu.
5. Fuatilia majibu TCU na upeleke hapo chuoni uanze registration process.
NB: kuhusu LOAN sijui utafanyaje, may be utauliza hapo TCU.
KILA LA KHERI.