Yah: Kujiunga Jamii Forum

Yah: Kujiunga Jamii Forum

Malyakishu

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
1,968
Reaction score
2,347
Hodi hodi JF nafurahi kujiunga ktk mtandao huu naahidi kuwa mtiifu na mchangia mada mbalimbali
 
Mkuu naona wewe na Watu8 mmekua wakaribisha wageni wazuri sana.
Ama kweli ukongwe dawa!

Hicho kitu ata m nimekiona. Nikajua jamaa wako zamu nini mana kwenye kukaribisha watu siwakosi
 
Last edited by a moderator:
Karibu mkuu lakini epuka tabia za baadhi ya watu walio humu.Hawajui kuchangia mada bila kutusi mchangiaji.Kama ulivyo ahidi basi timiza ahadi yako.Miaka mingi ndio mwanzo !!!!!!!!!!!!!
 
Karibu mkuu lakini epuka tabia za baadhi ya watu walio humu.Hawajui kuchangia mada bila kutusi mchangiaji.Kama ulivyo ahidi basi timiza ahadi yako.Miaka mingi ndio mwanzo !!!!!!!!!!!!!

Naelewa sana mkuu kuna watu wanamaneno kuntu
 
Hahahahahah eti mtiifu. asshole!!
[emoji3] [emoji3] mwanaume kama binti ...kufukua kaburi [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] una tabia za mange kimambi .....wachina hawajawahi kuacha marinda yako salama
 
Back
Top Bottom